Waziri Mkuu azitaka Halmashauri kuweka vituo vya kuchakata taka.

Vijana Tanzania watakiwa kushiriki biashara ya kaboni

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka halmashauri zote nchini zihakikishe kuwa zinaweka vituo vya kuchakata na kutenganisha taka ili zinapozalishwa ziweze kushughulikiwa kwa njia salama na endelevu, kwa lengo la kupunguza mzigo wa taka unaokwenda majalalani au kusambaa ovyo katika makazi ya watu. Kadhalika, Majaliwa amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa zishirikiane na Ofisi ya Makamu…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks