Kamati ya Bunge Nishati na Madini yajinoa matumizi gesi asilia
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imewasili Jijini New Delhi, nchini India kwa ziara ya kikazi na kujifunza namna Serikali ya India ilivyopiga hatua katika matumizi ya Gesi Asilia (LNG). Nyingine ni Nishati Safi ya Kupikia na Uzalishaji wa Umeme kwa kutumia Makaa ya Mawe. Ziara hiyo inaongozwa na Naibu Waziri wa…
