dede

EU yatoa ruzuku 9bn kwa ajili ya mradi wa Nishati Safi Tanzania

Inakadiriwa Watanzania zaidi ya asilimia 80 wanatumia vyanzo vya nishati ya kupikia  ambavyo si salama na vyenye madhara ya kiafya, kiuchumi na kimazingira. Tanzania imelenga kuboresha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kutokana na umuhimu wa afya za Watanzania na Mazingira. Hayo yamesemwa mwishoni mwa wiki na Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga akimuwakilisha Mgeni…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 07 20 at 13.09.25

Taasisi ya kifedha ya Uingereza kuwekeza Tanzania

Waziri wa Fedha Dkt. ameikaribisha Taasisi ya kifedha ya Uingereza inayojihusisha na uwekezaji (British International Investment) kufanya uwekezaji nchini katika sekta mbalimbali za maendeleo ikiwemo ya nishati. Dkt. Nchemba ametoa wito huo alipokutana na kufanya majadiliano na ujumbe wa British International Investment, katika Ofisi ya Hazina, jijini Dar es Salaam ambapo wameangazia mambo mbalimbali ya ushirikiano…

Soma Zaidi
TODC

Vituo 5 vya gesi asilia kujengwa nchini

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kufikia Desemba, 2023, linatarajia kujenga vituo vitano vya gesi asilia nchini. Akizungumza na waandishi wa habari katika Maonyesho ya 16 Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dk. James Mataragio amesema vituo hivyo vitasaidia kupunguza malalamiko ya kuwa na vituo vichache vya gesi asilia….

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks