Mo Dewji Mtanzania pekee kwenye jarida la matajiri Afrika
Mfanyabiashara ambae pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa MeTL Group, Mohammed Dewji (Mo Dewji) ametajwa kuwa miongoni mwa mabilionea 18 wa Afrika kwa ripoti ya mwaka 2022. Utajiri wa Mo umetajwa kufikia Dola bilioni 1.5 sawa na Sh3.4 trilioni utajili ambao ni sawa na mwaka jana hivyo hajaongeza wala kupunguza. Katika orodha ya jarida la Forbes…
