Watunzi wa filamu wanolewa
Takriban watunzi 37 wa filamu kutoka Tanzania bara na Zanzibar wamepata mafunzo kwa lengo la kuinuka na kukuza sanaa ya filamu. Mafunzo hayo yamefanyika katika hoteli ya Serena mjini Unguja yameandaliwa na Multichoice Talent Factory kwa kushirikiana na Zanzibar International Film Festival (ZIFF). Akizungunza na waandishi wa habari Mkurungenzi wa Multichoice Africa Nwabisa Matyunza amesema…
