Watumishi washauriwa kujifunza uwekezaji mapema
Watumishi wa Umma na Sekta Binafsi wameshauriwa kujifunza kuhusu uwekezaji mapema ili kuhakikisha kuwa baada ya kustaafu wanaendelea kuishi maisha mazuri, kama walivyokuwa kazini. Ushauri huo umetolewa na Afisa Masoko Mwandamizi, Kampuni ya Uwekezaji ya UTT – AMIS Rahim Mwanga wakati wa mafunzo ya elimu ya fedha yaliyotolewa kwa watumishi wa Halmashauri ya jiji la…
