WhatsApp Image 2023 10 12 at 14.27.12

Tanzania yasifiwa usimamizi mageuzi ya uchumi

Tanzania imesifiwa kwa usimamizi mzuri na mageuzi makubwa ya kiuchumi ikilinganishwa na nchi nyingi za Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hii ni katika kipindi ambacho Dunia inahangaika na misukosuko inayotokana na athari za UVIKO 19, mizozo ya vita pamoja na kuyumba kwa soko la fedha za kigeni. Pongezi hizo zimetolewa kwa nyakati tofauti na Makamu…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 06 05 at 13.13.06

Vikwazo 10 vya kibiashara vyaondolewa Afrika Mashariki

Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimekubaliana kuondoa vikwazo kumi vya kibiashara visivyo vya kiforodha (NTBs). Vikwazo nane vikiendelea kushughulikiwa, na vikwazo vingine vipya vinne vimewasilishwa ili kuboresha mazingira ya uwekezaji na biashara baina ya nchi hizo. Vilevile, nchi hizo zimekubaliana kutoza kiwango cha dola 10 za kimarekani kwa kilomita 100 kwa ajili…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2021 07 16 at 14.50.17

Maganda ya korosho yanavyotengeneza mafuta

Kama ulikuwa hufahamu kuwa maganda yatokanayo na zao la korosho yanatengeneza mafuta, basi sasa ujue. Lydia Amor ni mjasiriamali katika Halmashauri ya Mji wa Masasi ambae pia ni Mkurugenzi wa Lige Enterprise alifika katika maonyesho ya 45 ya Biashara (sabasaba) na kuweza kuonyesha bidhaa mbalimbali ikiwemo zao la korosho. “Nimefurahi sana kuweza kushiriki katika maonyesho…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks