Bei mafuta ya taa yapanda Tanzania
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za mafuta zinazoanza Machi 1, 2023 ambapo mafuta ya taa yamepanda kwa wastani wa Shilingi 39 kwa mikoa ya Mtwara, Dar es Salaam na Tanga. Taarifa hiyo inaonyesha kuishiwa kwa mafuta ya taa katika Bandari ya Tanga hivyo kusababisha uhaba wa bidhaa…
