WhatsApp Image 2024 08 21 at 12.43.25

Serikali ya Tanzania inaendelea kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji, kodi: Mwigulu

Waziri wa Fedha Dkt.Mwigulu Nchemba ameihakikishia Jumuiya ya Kimataifa na Watanzania kwa ujumla kwamba Serikali inaendelea kuweka na kuboresha mazingira ya uwekezaji ikiwemo kuboresha mifumo yake ya kodi. Dkt. Nchemba ameyasema hayo Agosti 20, 2024 katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, Jijini Dar es Salaam, wakati akiagana na Balozi wa Uswisi aliyemaliza muda wake…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 07 22 at 13.32.10

Viongozi wanawake watakiwa kuweka mikakati kupunguza pengo la kijinsia umiliki akaunti za benki

Viongozi wanawake wa mabenki wameaswa kuandaa na kutekeleza programu na mikakati itakayopunguza pengo la kijinsia kati ya wanaume na wanawake katika umiliki wa akaunti za Benki. Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (B0T) (Uthabiti na Usimamizi wa Sekta ya Fedha), Sauda Msemo ameyasema hayo katika mkutano na viongozi Julai 18, 2024. Mkutano huo ulilenga…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 07 10 at 14.57.22

Serikali kuajiri walimu 12,000 mwaka wa fedha 2024/2025

Serikali ya Tanzania imesema katika mwaka wa fedha 2024/25 itaajiri walimu 12,000 ili kupunguza changamoto ya upungufu wa walimu nchini. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Zainab Katimba amesema hayo wakati akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kichangachui iliyopo Manispaa ya Kigoma Ujiji. Katimba ameeleza mpango huo wa Serikali kuajiri walimu, mara baada ya…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks