Serikali ya Tanzania kutumia Sh 133.310bn kwa wajasiriamali
Serikali imepanga kutumia kiasi cha Shilingi bilioni 133.310 kwenye sekta ya wajasiriamali wadogo na wa kati kwa kuwawezesha mitaji, kutoa mafunzo ya ujasiriamali, matumizi ya huduma za fedha, tafiti kuhusu sekta ya fedha na kuongeza matumizi ya TEHAMA kwenye sekta ya fedha. Hayo yameelezwa jijini Mbeya na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf…
