Mfuko wa Udhamini Mwl Nyerere waongeza ufadhili
Mfuko wa Udhamini wa Kumbukumbu ya Mwalimu Julius K. Nyerere umeendelea kuongeza hamasa na ufaulu kwa wanafunzi wa kike nchini katika masomo ya Hisabati na Sayansi. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano uliokutanisha wadau wa mfuko huo uliofanyika katika kumbi za mikutano za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini Dar es Salaam, Naibu Gavana, Sera…
