Dkt. Biteko ataka mitaala vyuoni iendane na mabadiliko ya teknolojia
Vyuo na taasisi zinazotoa elimu ngazi ya kati ikiwemo zimetakiwa kuboresha mitaala yake ya masomo ili iendane na mahitaji ya sasa ya soko la ajira kimataifa sambamba na mahitaji ya kijamii na kiuchumi. Hayo yamebainishwa Januari 21, 2025 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko katika Maadhimisho ya miaka 60 ya…
