Wafanyabiashara warahisishiwa utoaji risiti za EFD
Serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanzisha mfumo rahisi wa utoaji wa risiti ujulikanao kama Visual Fiscal Devices (VFD) ili kuhakikisha kuwa kila mfanyabiashara anapata mashine ya kutolea Risiti za Kielektroniki (EFD) kwa njia rahisi na isiyo na gharama. Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) ameeleza Bungeni Dodoma wakati…
