Tanzania yatoa rai nchi zilizoendelea kupunguza gharama za mikopo
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa rai kwa nchi zilizoendelea kupunguza gharama za mikopo na kutoa muda mrefu wa kulipa madeni ili kuziwezesha nchi zinazoendelea zikiwemo za Afrika kutekeleza miradi ya maendeleo itakayochochea ukuaji wa uchumi na maisha ya wananchi kwa ujumla. Dkt. Nchemba ametoa rai hiyo jijini NewYork nchini Marekani, wakati akichangia mada…
