Kodi ni jambo gumu sana, si rahisi kukubalika: Rais Samia
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa swala la kodi ni jambo gumu sana na sio rahisi kukubalika. Rais Samia amesema hayo Oktoba 04, 2024 wakati akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi Ikulu jijini Dar es Salaam. “Ni ukweli kwamba kwa nyakati tofauti na kwenye vikao mbalimbali na wananchi na wadau sekta binafsi bado…
