Screen Shot 2025 07 31 at 12.32.50 PM

1163 wathibitisha kushiriki Maonesho Nanenane 2025

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli amesema kuwa washiriki wapatao 1163 wamethibitisha kushiriki katika Maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Nanenane 2025 ambayo Kitaifa yanafanyika katika viwanja vya Nzuguni, mkoani Dodoma. “Kutakuwa na teknolojia za huduma za kisekta ambapo waoneshaji 753 wanatoka katika Sekta za Umma na Binafsi, washirika kutoka katika taasisi za nje…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 04 17 at 1.29.29 PM

Fedha za miradi ambazo hazijatumika hurudi Mfuko Mkuu wa Serikali

Serikali imesema kuwa fedha ambazo hazijatumika hadi mwisho wa mwaka hurudi Mfuko Mkuu wa Serikali ikiwa ni utaratibu wa kusimamia uwajibikaji na uwazi katika matumizi ya fedha zilizotengwa katika bajeti. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Tandahimba Katani Ahmad Katani, aliyetaka kujua lini…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 02 17 at 4.14.35 PM

Serikali ya Tanzania yasema viwanda vinne vya uongezaji thamani madini kujengwa Dodoma

Waziri wa Madini Anthony Mavunde amesema, ujenzi wa Viwanda vinne vya uchenjuaji madini ya Shaba ikiwemo kiwanda cha Shengde Precious Metal Resources Co. Limited kinachoendelea kujengwa katika eneo la Mahungu Kata ya Nala Jijini Dodoma vinatarajiwa kuwa mkombozi wa wachimbaji wadogo wa Madini ya Shaba nchini. Waziri Mavunde amebainisha hayo Februari 16, 2025 baada ya…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks