Maagizo 6 Dira ya Maendeleo ya Taifa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Philip Mpango ametoa maagizo sita ya kuzingatiwa katika Maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050. Moja ya maagizo hayo ni kuimarisha uwezo wa uchumi uliopo na kulinda mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya 2025. Ametoa maagizo hayo jijini Dodoma wakati wa akizundua…
