Wadau usafirishaji waomba nauli ipande
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amekutana na wadau wa usafirishaji katika mkutano maalum uliofanyika katika ukumbi wa mikutano Arnatoglo Mnazi mmoja Jijini Dar es Salaam Oktoba 18, 2023 ambapo wadau hao wamewasilisha ombi la kupandishwa kwa nauli. RC Chalamila amesema wadau wa usafirishaji ni kundi muhimu hakuna anayeweza kubeza ukweli huo,…
