Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla.

Jinsi Zanzibar ilivyotekeleza ilani ya CCM kiuchumi, elimu

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar chini ya Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi imewasilisha jinsi ilivyotekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya 2020/2025 katika nyanja mbalimbali ikiwemo kiuchumi, elimu, afya, uwekezaji na miundombinu. Hii ni katika kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Akiwasilisha utekelezaji wa Ilani hiyo jijini Dodoma, Makamu wa pili wa…

Soma Zaidi
bbb

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

Mapendekezo yamepitishwa kwa kila Mtanzania kuwa na bima ya afya. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo 23 Juni, 2022 wamepitisha mapendekezo ya hayo. Wajumbe hao wamepitisha mapendekezo hayo kwenye semina iliyoandaliwa na Wizara ya Afya ya kuimarisha mfumo wa bima ya afya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa White house jijini Dodoma. Waziri…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks