RC Dar amaliza sintofahamu Stendi ya Magufuli
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla ametangaza kuondoa katazo lililokuwa likizuia mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi kutoruhusiwa kupakia abiria au kushusha katika vituo binafsi. katazo hilo, lilitaka mabasi yote yashushe na kupakia abiria katika kituo Kikuu cha mabasi Magufuli, kilichopo Mbezi. Kwa sasa, RC Makalla ameruhusu utaratibu wa vituo binafsi…
