Bei ya petroli, dizeli yashuka
Bei ya mafuta ya Petroli na dizeli imeshuka kwa mwezi Julai katika mikoa inayochukua mafuta katika bandari ya Dar es Salaam na Tanga. Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inaonyesha kuwa ya petroli kuanzia Julai 5, 2023 imeshuka kwa Sh137 na dizeli kwa Sh 118 ikilinganishwa na mwezi…
