BoT yazindua mtaala wa Wakufunzi Elimu ya Fedha
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Emmanuel Tutuba amezindua Mtaala wa Wakufunzi wa Elimu ya Fedha waliorasimishwa katika Ofisi za Makao Makuu Ndogo ya Benki Kuu jijini Dar es Salaam. Akizindua mtaala huo, Gavana Tutuba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Huduma Jumuisha za Fedha amesema utekelezaji wa mtaala huu utasaidia kutatua changamoto…
