WhatsApp Image 2024 07 22 at 13.32.10

Viongozi wanawake watakiwa kuweka mikakati kupunguza pengo la kijinsia umiliki akaunti za benki

Viongozi wanawake wa mabenki wameaswa kuandaa na kutekeleza programu na mikakati itakayopunguza pengo la kijinsia kati ya wanaume na wanawake katika umiliki wa akaunti za Benki. Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (B0T) (Uthabiti na Usimamizi wa Sekta ya Fedha), Sauda Msemo ameyasema hayo katika mkutano na viongozi Julai 18, 2024. Mkutano huo ulilenga…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 05 29 at 12.20.49

BoT, Citibank wajadili mikopo chechefu

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Emmanuel Tutuba, amekutana na Mkuu wa Kundi la Citibank Kusini mwa Jangwa la Sahara, Akin Dawodu jijini Dodoma kuzungumza masuala mbalimbali yanayohusu sekta ya fedha. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Mei 28, 2024, Gavana Tutuba amesema utendaji wa Citibank umeonesha kuongezeka kwa faida na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 05 20 at 12.59.00

Tanzania yaihakikishia IMF maboresho ya sera

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amelihakikishia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwamba Serikali itaendelea kufanya maboresho ya sera na mipango yake kwa kuhakikisha sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii zikiwemo sekta za elimu na afya zinapewa kipaumbele katika Bajeti ya Serikali. Dkt. Nchemba amesema hayo wakati akifunga vikao vya majadiliano kati ya Serikali…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks