Jitihada kukuza matumizi ya fedha kidigitali zinaendelea: Dkt. Mwigulu
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali inaendeleza jitihada ya kukuza matumizi ya fedha kidigitali badala ya pesa taslimu ili kuendana na madadiliko ya kiteknolojia yanayoendelea hivi sasa. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo Machi 06, 2025 jijini Dr es Salaam wakati akifungua rasmi Mhadhara wa Kumbukumbu ya Gilman Rutihinda, Gavana wa zamani wa Benki Kuu…
