Bodaboda zaikosesha serikali takribani Sh bil 7 kwa mwaka
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amepokea Mpango kazi wa shirikisho la Bodaboda wa mkoa huo unaolenga kusajili idadi ya waendesha bodaboda, vituo pamoja na kuwaingiza kwenye mfumo rasmi. Hatua hiyo imekuja Baada ya Shirikisho la bodaboda kubaini kuwa serikali imekuwa ikikosa mapato ya takribani Sh. bilioni 7 kila mwaka kwa kukosekana…
