Biashara baina ya Tanzania, UAE Dola bilioni 3.2
Biashara baina ya Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imetajwa kuwa ni kiasi kinachofikia Dola za Marekani bilioni 3.2. UAE imetajwa kuwa mshirika namba saba kwenye eneo la biashara na uwekezaji Tanzania. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amebainisha hayo katika kumbukizi ya miaka…
