Tuzo za utalii, uhifadhi Tanzania kuzinduliwa kesho
Tuzo za kwanza Kitaifa za Utalii na Uhifadhi nchini Tanzania zinatarajiwa kuzinduliwa kesho (Desemba 20, 2024). Katika tuzo hizo, viongozi na watu mashuhuri wenye mchango katika sekta ya Utalii watatuzwa mwaka huu na baadaye kila mwaka. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha Desemba 18, 2024, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt….
