Tanzania kukusanya bilioni 100 kutoka bahati nasibu
Wizara ya Fedha inatarajia kukusanya Sh100 bilioni kila mwaka kutokana na uwekezaji wa Dola milioni 20 za Marekani uliofanywa na kampuni ya ITHUBA Tanzania, iliyopata leseni ya miaka minane kuendesha Bahati Nasibu ya Taifa. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande, alipozungumza katika hafla ya kutambulisha uwekezaji huo. Amesema amesema Serikali itachukua…
