Screen Shot 2025 02 06 at 1.56.23 PM

Ukosefu wa mitaji watajwa changamoto inayowakabili wachimbaji wadogo

Kukosekana kwa mitaji kumetajwa kuwa miongoni mwa changamoto inayowakabili wachimbaji wadogo wa madini katika mgodi wa Mawe wa Ndolela Quarry uliopo kijiji cha Ndolela jimbo la Isimani mkoani Iringa. Mwenyekiti wa Wachimbaji Mkoa wa Iringa ambaye pia ni miongoni mwa wamiliki wa mgodi wa Konga, uliopo kijiji cha Itengulinyi, mkoani Iringa Ibrahim Msigwa amesema ameitaja…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 02 05 at 2.07.15 PM

Serikali kuhakikisha Namba ya Utambulisho wa Kodi (TIN) inabaki ile ile kampuni ikibadilisha jina kukwepa ulipaji kodi

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imechukua hatua madhubuti kudhibiti mianya ya ukwepaji kodi unaosababishwa na mabadiliko ya majina ya kampuni za kigeni kwa kuhakikisha Namba ya Utambulisho wa Kodi (TIN) inabaki ile ile hata kama kampuni itabadilisha jina. Hayo ameyasema bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Tarime Mjini Michael…

Soma Zaidi
Bei petrol, dizeli zashuka Tanzania pesatu.com

Bei ya mafuta yaongezeka mwezi Februari

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya Petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia leo Jumatano Februari 05, 2025 kwa rejareja na jumla. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, bei ya petroli kwa rejareja katika Jiji la Dar es Salaam imeongezeka kwa asilimia 0.957, dizeli kwa asilimia…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks