Wanawake wajasiriamali kuwezeshwa kiuchumi
Benki ya CRDB imeingia makubaliano ya mkopo wa jumla ya Dola za Marekani milioni 60 (Sh138 bilioni) na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ili kuwawezesha wajasiriamali nchini. Hatua hiyo inalenga kuwawezesha wajasiriamali hususani wanawake na kwenye makubaliano hayo na AfDB, CRDB itaelekeza kiasi cha Dola za Marekani milioni 50 sawa na Sh 115 bilioni…
