Mahitaji ya nyama soko la nje ni makubwa: TMB
Mahitaji ya nyama katika soko la nje ni makubwa kuliko uwezo wa uzalishaji hapa nchi. Taarifa ya Msajili wa Bodi ya Nyama Tanzania, Tanzania Meat Board (TMB) Dkt. Daniel Mushi inasema masoko mengi ya nyama ya ngombe, mbuzi na kondoo yapo katika nchi za Mashariki ya Kati. Ametaja masoko ambayo Tanzania inayo kwa sasa kuwa…
