Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wawekezaji nchini Japan.

Tanzania yaendelea kuishawishi Japan kuwekeza nchini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameendelea kuwashawishi wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa wa Japan kuja kuwekeza kwenye sekta mbalimbali kwani Serikali imeshaboresha mazingira ya ufanyaji biashara na uwekezaji. Amezitaja sekta hizo kuwa ni pamoja na kilimo, afya, uchumi wa buluu, nishati, miundombinu, ufugaji na TEHAMA. Waziri Mkuu ameyasema hayo Mei 28, 2025 alipokutana kwa nyakati tofauti na…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 04 23 at 11.00.59 AM

Dkt. Mwigulu: Tanzania imejipanga kukabiliana na mabadiliko Sera za Marekani

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Tanzania imejipanga kukabiliana na mabadiliko ya sera za nje za Marekani kuhusu misaada kwa nchi za Afrika kwa kutumia rasilimali zake ndani kupitia Bajeti Kuu ya Serikali. Dkt. Nchemba amesema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Kwanza la Nchi za Afrika wa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks