Kampuni za bima zitakazoshindwa kulipa fidia kufutiwa leseni
Serikali imeiagiza Mamlaka ya Usimamizi wa Bima nchini (TIRA) kuzichukulia hatua kali za kisheria ikiwemo kuzifutia leseni za kufanyabiashara nchini kampuni za Bima kuwalipa wateja wao fidia za majanga kwa wakati na kwa kuzingatia thamani halisi ya mali zilizokatiwa bima. Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hamad Hassan Chande, ametoa maagizo hayo alipotembelea na kukagua…
