WhatsApp Image 2022 12 16 at 11.58.15 AM

Zanzibar yapewa mafunzo mifumo ya biashara

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imeendesha mafunzo ya mifumo ya biashara kwa maafisa wa Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar. Mafunzo hayo pia yamejumuisha wadau kutoka sekta mbalimbali za biashara visiwani humo. Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Omar Said Shaaban ambaye ni mgeni rasmi…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2022 12 15 at 3.56.00 PM

Malighafi changamoto viwanda Zanzibar

Ukosefu wa malighafi umetajwa kuwa moja ya changamoto katika utengenezaji wa bidhaa za nguo kwenye Viwanda vya Idara Maalum (SMZ) Zanzibar. Viwand hivyo, hulazimika kuagiza vitambaa kwa ajili ya kushona nguo mbalimbali zinazotengenezwa kiwandani hapo nchini China. Afisa habari wa Viwanda hivyo ambavyo kwa sasa vina jina la MARASHI anasema malighafi hizo ni moja ya…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2022 12 13 at 2.22.15 PM

Rais Samia aridhia Tanzania kuwa mwenyeji mkutano wa kilimo

Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano wa kilimo utakaohusisha viongozi, watu mashuhuri na wadau takribani 3,000 kutoka sehemu mbalimbali duniani. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus, Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia mkutano huo kufanyika nchini Tanzania mwaka 2023. Taarifa hiyo inabainisha kwamba aliyekuwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2022 12 13 at 12.07.50 PM

Machinga Kariakoo kusajiliwa

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kuwasajili wamachinga waliopo katika Soko Kuu la Biashara Kariakoo. Meneja wa Mkoa wa Kikodi wa Kariakoo Alex Katundu amesema tayari machinga 5273 wameshasajiliwa ili kuingizwa kwenye mfumo wa malipo ya kodi wa makadirio. Katundu amesema “usajili huu unafanyika kwa kila machinga aliyepo Kariakoo kwa sababu tulibaini baadhi ya wafanyabiashara…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2022 12 06 at 1.23.32 PM

Watanzania watakiwa kununua bidhaa za ndani

Maonesho ya saba ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yenye lengo la Kutangaza na kuhamasisha Watanzania kutumia bidhaa za Tanzania yamefunguliwa. Maonesho hayo yaliyoanza Desemba 3 hadi 9 yanayofanyika katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu Julius Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es salaam yakiwa na kauli mbiu ya ‘nunuachakwetu’. Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda…

Soma Zaidi
Pesatu Ujasiriamali

Mambo matano mjasiriamali anapaswa kujua

Ujasiriamali unaendelea kuwa kimbilio la wengi katika harakati za kupambana na ajira. Wananchi wengi wamekuwa wakitambua fursa na kutumia nafasi hiyo kujiajiri ili kumudu maisha. Japokuwa kundi kubwa la watu wanajikita katika kujiajiri, ni wachache tu ambao wanafikia mafanikio na kutimiza malengo yao. Unaweza kujiuliza, asilimia kubwa wanakosea wapi? Ni vitu gani ambavyo kila mjasiriamali…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks