Zaidi ya Tsh milioni 60 zajenga visimba kuzuia mamba
Zaidi ya Tsh milioni 60 zimetumika kujenga vizimba viwili kwa ajili ya kukabiliana na changamoto ya Mamba katika vijiji vya Kanyala na Izindabo kwenye tarafa ya Buchosa, wilayani Sengerema Mkoani Mwanza. Haya yamebainishwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Dunstan Kitandula wakati akijibu swali la Mbunge wa Buchosa Eric James Shigongo ambaye alitaka kujua…
