Waziri Bashe agawa trekta 400, pikipiki 1000 na baiskeli 2500 kwa wakulima
Wakulima wa zao la Pamba nchini wanatarajia kunufaika na zana za kilimo kufuatia ugawaji wa trekta 400, pikipiki 1000 na baiskeli 2500, boza 58 kwa ajili ya viuatilifu vya dawa na mbolea hai lita 3000. Zana hizo zimekabidhiwa na Hussein Bashe Waziri wa Kilimo kufuatia ziara yake ya kikazi katika Wilaya ya Igunga, Mkoa wa…
