Tanzania kujifunza teknolojia magari ya umeme Singapore
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko, amesema kuwa Tanzania inayo nafasi kubwa ya kujifunza Teknolojia ya uwambaji wa magari (Assembling) yanayotumia umeme kutoka kiwanda cha magari cha HYUNDAI kwani ni rafiki kwa mazingira na hupunguza uchafuzi wa hali ya hewa. Dkt. Biteko ameyasema hayo Oktoba 23, 2024 nchini Singapore mara baada…
