Tanzania yasisitiza matumizi ya Shilingi katika malipo ndani ya nchi
Serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa wito kwa wadau wa sekta ya utalii na wananchi kwa ujumla kuhakikisha kuwa malipo ya bidhaa na huduma zote ndani ya nchi yanafanyika kwa Shilingi ya Tanzania, kama ilivyoainishwa katika Kanuni za Matumizi ya Fedha za Kigeni za Mwaka 2025. Wito huo umetolewa na Meneja wa Idara…
