mtt

Vijana watakiwa kutumia teknolojia kukuza ubunifu

Kutokana na kukua kwa teknolojia, vijana wa Kitanzania wametakiwa kutumia fursa za kidigitali ili kuweza kukuza ubunifu na ujasiriamali na kupata masoko ndani na nje ya nchi. Mkurugenzi Mtendaji wa Sahara Venture, Jumanne Mtambalike ametoa wito huo kwa vijana katika Kongamano la ubunifu, teknolojia na ujasiriamali lililoandaliwa Sahara Ventures kwa kushirikana na wadau wengine wakiwemo…

Soma Zaidi
kkkk

Wakulima tumieni mitandao kujikwamua kiuchumi: TCRA

Wakulima nchini Tanzania wametakiwa kutumia fursa za mitandao katika kujikwamua kiuchumi ikiwamo huduma za masoko ya mazao wanayozalisha. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imewataka wakulima wanapoelekea kuadhimisha siku ya Wakulima (Nane Nane) kutumia mitandao ya kijamii kutangaza kilimo. Akizungumza katika banda la TCRA, mkuu wa mamlaka hiyo kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Asajile John…

Soma Zaidi
kkkk

Kariakoo saa 24

Mara baada ya ujenzi wa soko la Kariakoo kukamilika biashara zinatarajiwa kufanyika kwa saa 24. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ameeleza hayo Julai 18, 2022 alipokutana na watendaji na viongozi wa mkoa kuzungumzia kampeni yake ya kuiependezesha Dar es Salaam. Mkuu huyo wa mkoa amesema Dar es Salaam ni Jiji la…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks