Mauzo ya Tanzania Ujerumani Dola 42.05m kwa mwaka
Tanzania imekuwa ikiuza nchini Ujerumani bidhaa zenye thamani ya wastani wa Dola za Marekani milioni 42.04 kwa mwaka. Kwa mujibu wa Mmamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) bidhaa kuu ambazo Tanzania inauza Ujerumani ni pamoja na kahawa, asali, tumbaku, pamba, samaki, nta na vito vya thamani. Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa…
