Kariakoo

Soko la Kariakoo kufunguliwa mwezi Agosti

Shirika la Masoko ya Kariakoo limetangaza kurejeshwa kwa wafanyabiashara 891 sokoni Kariakoo baada ya ujenzi wa soko jipya na ukarabati wa soko kuu kukamilika. Taarifa ya Manejimenti ya Masoko ya Kariakoo inaeleza kuwa orodha hiyo ina majina ya wafanyabiashara waliokidhi sifa na vigezo. “Wafanyabiashara wanaodaiwa na Shirika ambao wapo kwenye orodha wanajulishwa kuwa hawatarejeshwa sokoni…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 05 20 at 12.59.00

Tanzania yaihakikishia IMF maboresho ya sera

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amelihakikishia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwamba Serikali itaendelea kufanya maboresho ya sera na mipango yake kwa kuhakikisha sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii zikiwemo sekta za elimu na afya zinapewa kipaumbele katika Bajeti ya Serikali. Dkt. Nchemba amesema hayo wakati akifunga vikao vya majadiliano kati ya Serikali…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 03 01 at 17.50.55

Wadau waipa Tanzania Dola za Marekani bilioni 2.7

Takribani Dola za Marekani bilioni 2.7 zimetolewa na wadau wa maendeleo kwa ajili ya kuisaidia Tanzania kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo. Kati ya fedha hizo, asilimia 51 ni misaada na asilimia 49 ni mikopo yenye masharti nafuu. Hayo yameeleza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar katika mkutano wa Majadiliano ya Kimkakati kati ya…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks