Tunataka riba ishuke mpaka 9%: BOT
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) inaendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kushusha riba hadi asilimia 9 . Gavana wa BOT Profesa Florens Luoga amesema hayo kwenye kongamano la uwasilishaji wa machapisho ya wataalam wa fedha kuelekea mahafali ya kwanza ya Chuo cha Benki Kuu Tanzania yanayotarajiwa kufanyika leo, Novemba 25, 2022. Amesema hadi sasa benki nchini…
