RC Makalla: Serikali imedhamiria kuweka mazingira bora ya ufanyaji biashara
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla ameitisha kikao kazi na Jumuiya ya Wafanyabiashara na Mamlaka za Udhibiti na Usimamizi wa Biashara kwa lengo la kuweka ustawi msuri wa ufanyaji biashara ikiwa ni pamoja kuweka mazingira bora ili kuinua uchumi wa wafanyabiashara na serikali kupata mapato. Katika kikao hicho, RC Makalla amepokea changamoto…
