Mteja ni mfalme: Waziri wa utalii
Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji wa sekta ya utalii pamoja na kuendelea kuboresha huduma za kitalii. Huduma hizo ni pamoja na upatikanaji wa leseni ya shughuli za utalii kwa uharaka zaidi na mifumo ya malazi. Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Damas Ndumbaro amesema hayo jijini Dares Salaam wakati akikabidhi vyeti kwa…
