sawaaaa

Uharibifu wa miundombinu wasitisha safari za treni Tanzania

Uharibifu wa miundombinu ya reli umesababisha Shirika la Reli Tanzania (TRC) kusitisha huduma za safari za treni kwa muda kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa mbalimbali. Taarifa iliyotolewa na TRC Januari 17, 2024 imetaja maeneo yaliyoharibiwa na mvua kuwa ni Mazimbu, Kilosa na Munisagara mkoani Morogoro, Godegode na Gulwe (Dodoma), Ruvu Junction, Wami, Mvave mkoani…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 07 12 at 14.51.47

Uwindaji wa kitalii unachangia bilioni 30

Serikali inakusanya takriban Shilingi Bilioni 30 kwa mwaka kutokana na Uwindaji wa kitalii nchini. Uwindaji huo ambao unachangia katika Pato la Taifa hususani fedha za kigeni, pia unachangia ajira rasmi na zisizo rasmi kwa jamii. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa ameeleza hayo wakati wa uzinduzi wa Kamati ya Ushauri ya Ugawaji wa Vitalu…

Soma Zaidi
wew

Benki zatakiwa kupunguza riba

Benki mbalimbali nchini zimetakiwa kupunguza riba, ili kutoa fursa kwa wateja kukopa na kufanya uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali. Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Felician Mtahengerwa ametoa rai hiyo jijini Arusha katika mkutano wa wadau wa Benki ya Maendeleo (TIB), Kanda ya Arusha. Mtahengerwa amesisitiza kuwa endapo benki zikipunguza riba katika mikopo, Watanzania wengi wataweza kukopa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks