Vitongoji 284 Arumeru Mashariki vyafikiwa na umeme
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imevifikishia huduma ya umeme Vitongoji 284 katika Jimbo la Arumeru Mashariki kati ya Vitongoji 330. Kapinga ameyasema hayo Juni 03, 2025 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Arumeru Mashariki, Dkt. John Danielson Pallangyo aliyeuliza ni lini Serikali itakamilisha…
