Bilioni 20 kuendeleza mashamba makubwa
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Mkoa wa Kagera kutenga ardhi kati ya hekari elfu 70 hadi laki moja kwa ajili ya kulima mashamba makubwa ya alizeti pamoja na michikichi. Rais Samia amesema lengo ni kuondoa utegemezi wa mafuta kutoka nje ya nchi. Akizungumza Juni 09, 2022 wakati akiwa katika Kiwanda cha Kagera Sukari…
