Tanzania yahakikishiwa soko la chai Algeria
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Chai Tanzania(TBT), Beatrice Banzi amekutana na Balozi wa Algeria hapa nchini Ahmed Djellal kwa mazungumzo kuhusu uimarishaji wa ushirikiano wa kibiashara katika tasnia ya chai. Kikao hicho kilichofanyikia katika ofisi za Ubalozi zilizopo Upanga, jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa pia na Meneja Masoko wa TBT Suleiman Chilo. Balozi…
