WhatsApp Image 2024 10 23 at 11.06.51 1

Rais Dkt. Mwinyi asisitiza fursa za kiuchumi na kuitangaza Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza Mabalozi wa Nchi za Afrika wanaoziwakilisha nchi zao nchini Tanzania kuimarisha ushirikiano na fursa za kiuchumi pamoja na kuutangaza utalii wa Zanzibar kimataifa. Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo Oktoba 21, 2024, alipozungumza na mabalozi waliotembelea Ikulu baada ya kumaliza ziara yao…

Soma Zaidi
mav

Usimamizi thabiti wa madini mkakati utakuza uchumi wa Afrika: Waziri Mavunde

Waziri wa Madini Anthony Mavunde amezitaka nchi za Afrika wazalishaji wa madini mkakati kuweka usimamizi madhubuti wa rasilimali hizo ili zisaidie kukuza uchumi kwa kuhakikisha unakuwepo mkakakati imara wa kuongeza thamani madini hayo katika nchi wazalishaji. Mavunde ameyasema hayo Oktoba 02, 2024 wakati akitoa hotuba yake akishiriki Mkutano wa 13 wa Utajiri wa Madini Jijini…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks