Nyama ya mbuzi yaongoza mauzo nje ya nchi
Nyama ya mbuzi imeendelea kuongoza katika mauzo ya nyama nje ya nchi ambapo imechangia asilimia 70.1 ya mauzo yote ya nyama inayouzwa nje ya Tanzania. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameeleza hayo na kusema kuwa mauzo ya nyama nje ya nchi yameongezeka kutoka tani 1,774 mwaka 2020/2021 hadi kufikia tani 14,701 mwaka 2022/2023. Amesema hatua hiyo…
